HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2026
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2026

Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetangaza rasmi uchaguzi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano pamoja na Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka 2026.